Featured post

Time to Rise

You are frightened by the greatness of Gods power in tigers eyes, You haven't seen mine yet made in His own image! I am not wor...

Thursday, 5 February 2015

Wanibonyeza

Wanibonyeza

Wanibonyeza bonyeza, Nasibonyezeki
Wandengua kiuno chenza, Nahundenguliki
Waniangalia kwanza, kisha hushughuliki
Wakumbuka kule Mwanza?, mbavu haziliki

Kitoeo chako tamu, Langu ghamu kwa hamu
Naja kwako tabasamu, Tunda lako tamu hamu
Nahema nikitabasamu, Kiu kamaliza hamu
Chanzo chema cha jiuzu , Kibaya chajitembezu

Lako Pendo kesha vuna, Kanipakulia kashiba
Lako pendo najivuna, kocho kocho hino shaba
Lako Pendo liKavuma, Nami papa baharini
Mawimbi nikafyeka fyeka, Nawe chafya ukibweka

Miaka tisa kahitimu, Katoa Kitambulisho
Lako Pango kahitimu, Pango la kando ni la hasha
Tundu letu tulilinde, Mifereji kunyunyizia

Nalo pendo lako liko, Kila siku hino taka

No comments: